Huu ni mwanzo tu wa safari yetu – kuunda, kuchapisha, kusambaza na kuhamasisha hadithi katika lugha za Kiafrika ambazo zitaboresha maisha na kutarajia kuchangia katika kuinua kiwango cha kusoma na kuandika katika nchi zetu.