Cadbury
Cadbury

SHIRIKI HADITHI

ZAKO ZA NYUMBANI

Lengo letu kuu kwa jamii ni kuhimiza watu wapende kusoma, na kuhakikisha kuwa watoto wote barani Afrika wanapata hadithi wanazohisi kuwa zinawaakilisha vyema.

Cadbury

wasimulizi wa hadithi, ni tatizo la kusoma na kuandika

Taifa la wasimulizi wa hadithi linakabiliwa na shida ya kusoma na kuandika

Wazazi wawili kati ya watatu wa Tanzania wanasema Tanzania haijawakilishwa kikweli katika vitabu vya watoto wao. Sisi katika Cadbury tungependa kubadilisha hili kupitia msaada wa kila mmoja. Tunataka kuamsha hamu ya kusoma kwa watoto. Tutahakikisha kuwa hadithi za kitanzania za watoto wakati wa kulala, na ambazo zinawakilisha vizuri watoto hawa, zinapatikana kwa urahisi.

Hata hivyo, ili hili lifanikiwe, tunahitaji nia nzuri ya ukarimu wa Watanzania. Ukarimu ambao ulichangia pakubwa kukawa na vitabu 30 vya hadithi ambavyo sasa vinapatikana kwenye tovuti yetu ili mtu yeyote avipakue, avisoma na kuvifurahia.

Cadbury

KUNA WEMA KWA KILA MTU

Mwaka huu wa 2022, dhamira yetu inaendelea, huku tukihimiza ukarimu zaidi ulimwenguni kwa kuuliza taifa letu la wasimulizi wa hadithi kushiriki kwa ukarimu hadithi ya nyumbani ili watoto zaidi waweze kupata hadithi ambazo zinawaakilisha kikweli. Kuna ukarimu ndani yetu sote na ukarimu wako unaweza kuleta mabadiliko ya maana.

FURUSHI LA VITABU
VYA HADITHI

FURUSHI LA VITABU
VYA HADITHI

Vifurushi vyetu vya Toleo la Hadithi za nyumbani vya Cadbury, vinapatikana katika Chokoleti ya Kunywa ya Cadbury– viwili ndani ya kimoja, na katika Maziwa ya Cadbury – gramu 80 na gramu 150. Unaweza kushiriki hadithi yako ya nyumbani kwa kuchanganua (scan) msimbo wa QR kwenye kifurushi chochote cha Toleo la Hadithi ya Cadbury. Tendo lako la ukarimu linaweza kusaidia kugeuza ukurasa kwenye shida ya kusoma na kuandika.

Cadbury

NAMNA YA KUFANYA

NAMNA YA KUSHIRIKI

Shiriki kwa ukarimu hadithi yako ya nyumbani ili kusaidia kuleta hamu ya kupenda kusoma miongoni mwa watoto wetu. Kuna wema kwa kila mtu.

whatsapp icon SHIRIKI HADITHI